Kumekuwa na misemo mingi sana , ambayo watu hupenda kuitumia, ila watu wengi huwa hawajui maana ya misemo hiyo. Hii blog ni maalum kufafanua maana ya hiyo misemo. Tutembelee mara kwa mara ili uweze kunufaika zaidi. Pia alika na marafiki zako na wao waweze kujifunza